Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya. kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Dkt. Stephen Mwakajumilo, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Mke wa Makamu wa Rais, Mama Mbonimpaye Mpango, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, David Silinde.
Read More