Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu Maonesho ya 22 ya Nguvu Kazi/Juakali yatakayo fanyika Kampala Uganda tarehe 08-18 Desemba 2022, jijini Dodoma tarehe 21 Septemba, 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amesema Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan atawezesha usafiri wa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati 250 kushiriki maonesho ya 22 ya Wajasiriama...