Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (mwenye kofia nyeusi kushoto) akishiriki kuweka kibao kinachoonesha jina la Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa wa Ferry alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maendelea ya uwekaji anwani za makazi katika maeneo mbalimbali.
Na Grace Semfuko,MAELEZO
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, amesema hakuna maeneo yatakayoachwa kwenye zoezi la uwekaji wa anwani za makazi nchini, na kwamba maeneo yote yenye migogoro sugu ya ardhi na mipaka, na a...
Read More