Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo mbele yaWaandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya Tamasha kubwa la Utamaduni litakalofanyika hivi karibuni mkoani Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, leo Alhamisi Januari 20, 2022, amekagua maandalizi ya Tamasha kubwa la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro.
Katika Tamasha hilo litakalofanyika Jumamosi hii Januari 22, 2022, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungan...
Read More