Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akifanya mazoezi ya viungo katika viwanja vya Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Dodoma, kabla ya kuanza kwa matembezi ya Ufunguzi wa Wiki ya Sheria na (Kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Hamis Juma na (kulia kwa Rais) Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe Dkt. Tulia Ackson, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakiwa na Viongozi wengine wa Serikali na Mahakama
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt....