Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswisi ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Bi. Patricia Danzi, wakati ujumbe huo ulipofika Jijini Dodoma leo tarehe 26 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswisi ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bi. Patricia Danzi kushoto, wakati ujumbe huo ulipofika Jijini...
Read More