Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoa Kitambaa kuzindua rasmi Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City, Jijini Dodoma leo tarehe 06 Oktoba 2021. Wa pili kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar, Othman Makungu, wa pili kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo la Kituo Jumuishi ch...
Read More