Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kuhusu majukumu na Muundo wa Wizara hiyo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini Dodoma.
Na Mwandishi wetu, Dodoma.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kwa mara ya kwanza imekutana na wataalam wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kupokea taarifa za Muundo na majukumu ya Idara na vitengo ndani ya Wizara hiyo.
Taa...