Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dodoma
Serikali imetenga Sh. bilioni 600 kwa ajili ya kulipa madeni yaliyohakikiwa ya Watumishi wa Umma kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ikiwa ni moja ya mkakati wa kuleta nidhamu na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma.
Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Bumbwini, Mhe. Muhammed Amour Muhammed, aliyetaka kujua ni lini Serikali italipa m...
Read More