[caption id="attachment_50043" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) akiangalia mitambo ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) ya kurushia matangazo iliyopo eneo la Kwemashai wilaya ya Lushoto mkoani Tanga alipokuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili. Wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Lushoto Januari Lugangika.[/caption]
Na Eleuteri Mangi-WHUSM, Tanga
Serikali inaendelea kuboresha usikivu wa matangazo ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kwa kuimarisha m...