[caption id="attachment_46053" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akiwaongoza wajumbe wa baraza hilo kuelekea katika vituo vya daladala kutoa elimu kwa watumiaji wa vyombo vya moto,lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar[/caption]
[caption id="attachment_46054" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amba...
Read More