[caption id="attachment_45872" align="aligncenter" width="750"] Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale akisaini Mkataba wa ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi mkoani Mwanza na Mwakilishi kutoka kampuni ya ujenzi ya China Civil Engeering Construction Coorporation, Zhang Jang, katika hafla iliyofanyika Makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA, Jijini Dar es Salaam, wanaoshuhudia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe na Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo.[/caption]
[cap...
Read More