[caption id="attachment_48989" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Dkt. Laurian Ndumbaro( kushoto) akiwa amembatana na Wakurugenzi,Mameneja wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizochini yake ambao wanaofanya kikao kazi mkoani Tanga ,kilichofungwa na Katibu Mkuu huyo.[/caption]
Na Zuena Msuya, Tanga
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, Dkt. Laurian Ndumbaro ameipongeza Wizara ya Nishati na Taa...
Read More