Na Asteria Muhozya, DODOMA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Madini kwa ukusanyaji maduhuli ambapo katika kipindi cha nusu Mwaka wa Fedha 2018/19, cha kuanzia mwezi Julai hadi 31 Disemba, 2018, ilikusanya shilingi 167,742,947,332 kati ya shilingi 310,598,007,000 iliyopangiwa.
Akiwasilisha taarifa kwa Kamati hiyo kwa niaba ya Katibu Mkuu, Kamishna wa Madini Mhandisi David Mulabwa, alisema kuwa, shilingi 310,320,0004,000 zilipangwa kukusanywa kupitia Tume ya Madini, na shilingi 278,003, 000 katika Makao Maku...
Read More