[caption id="attachment_34525" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akifafanua jambo kwa Ujumbe wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), uliofika katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dodoma, leo, kupata taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi inayofadhiliwa na Benki hiyo.[/caption]
[caption id="attachment_34526" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Steven Dowd, akisisitiza jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa na vio...
Read More