[caption id="attachment_37247" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Nishati, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakifuatilia kikao baina yao na Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini jijini Dodoma.[/caption]
Na: Teresia Mhagama, Dodoma
Imeelezwa kuwa, matumizi ya gesi asilia katika kuzalisha umeme yameokoa fedha za kigeni kiasi cha Dola za Marekani bilioni 10.29 ambazo zingetumika kununua mafuta nje ya nchi kwa ajili ya kuzalisha u...
Read More