Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole-Gabriel akiongea na wadau wa masuala ya utamaduni toka baadhi ya nchi za Afrika Mashariki wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa siku tatu unaohusu kujadili mambo ya utamaduni baina ya nchi hizo unaofanyika katika Ukumbi wa Nkrumah uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Na Genofeva Matemu.
Washiriki wa kongamano la Utamaduni na Fasihi la Afrika Mashariki wametakiwa kuhamasisha jamii kwa kutumia utamaduni kama inta inayoshikamanisha watu kuwa wamoja kwa kuzingatia utamaduni...
Read More