[caption id="attachment_25211" align="aligncenter" width="750"] Wadau wa Sekta mbalimbali, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo (hayupo pichani), wakati wa mkutano wa maoni kuhusu sheria ya kulinda taarifa binafsi,Mkoani Dodoma, leo.[/caption]
Na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Imeelezwa kuwa kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi kutapunguza uhalifu unaohatarisha amani na kuongeza usalama wa mtu, jamii, nchi na dunia kwa ujumla.
Katibu Mkuu wa Wiz...
Read More