[caption id="attachment_16271" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Watoto toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Margaret Mussai akielezea jambo wakati wa kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika tarehe 11 Oktoba Tarime, Mkoani Mara. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali, Save the Children Tanzania Bi. Jasminka Milovanic[/caption]
[caption id="attachment_16272" alig...
Read More