[caption id="attachment_40255" align="aligncenter" width="845"] Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhandisi Stella Manyanya akijibu swali wakati wa Kikao cha Bunge leo Jijini Dodoma.[/caption]
Na: Lilian Lundo
Jumla ya viwanda 3,504 vimeanzishwa nchini kutokana na juhudi za kujenga uchumi wa viwanda zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano tangu iingie madarakani hadi kufikia Desemba, 2018.
Hayo yameelezwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya alipokuwa akijibu swali la...
Read More