Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na familia ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Hamad Masauni alipokwenda kuhani kufuatia kifo cha Baba yake Mzee Masauni Yussuf Masauni aliyefariki dunia tarehe 23 Februari, 2024. Rais Samia amekutana na familia hiyo nyumbani kwao Migombani, Zanzibar tarehe 03 Machi, 2024.
Read More