Kinyume na matarajio ya wapinzani, Serikali ya Tanzania chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli, imethibitisha kwa mara nyingine tena kuwa bado inaaminika kwa jamii ya kimataifa, baada ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuidhinisha msamaha wa madeni wenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 14.3 sawa na takriban Shilingi za Kitanzania bilioni 33.1
Msamaha ambao ni sehemu ya msaada wa kupambana na janga la COVID-19, umetolewa chini ya Mfuko wa Kupambana na Majanga na Athari zake wa shirika hilo (CCRT) kwa miezi minne, ya...
Read More