Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akifungua mashindano ya Utamaduni yanayohusisha ngoma na vyakula vya asili kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar na kuhimiza mashindano hayo kufanyika kila mwaka.
Na Eleuteri Mangi, WUSM - Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amefungua mashindano ya Utamaduni yanayohusisha ngoma na vyakula vya asili kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar na kuhimiza mashindano hayo kufanyika kila mwaka.
Mashindano hayo yamefunguliw...
Read More