Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar,Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joaquim Chissano pamoja na Wenza wa viongozi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa shukrani maalum kwa viongozi na wafanyakazi wa Taasisi ya Benjamin Mkapa kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Serikali zetu katika kuimarisha huduma mbalimbali hasa za afya.
Rais Dkt. Mwinyi ametoa...
Read More