Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akizungumza wakati wa kuhitimisha Kikao kazi kilichowaunganisha Wakurugenzi wa Halmashauri na watalaam wa Sekta ya Ardhi nchini kilichofanyika jijini Dodoma Oktoba 1, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Dkt. Allan Kijazi na kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais –TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe.
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kwenda na kasi ya Rais wa Jamhuri ya Muunga...
Read More