Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa, akitembelea moja ya klabu kongwe na mashuhuri duniani, Fenerbehche ya Uturuki
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametembelea moja ya klabu kongwe na mashuhuri duniani, Fenerbehche ya Uturuki na kukubaliana kushirikiana katika maeneo ya mafunzo, kambi na ujenzi wa shule za michezo.
Akizungumza katika kikao kilichoongozwa na Mjumbe wa Bodi ya Klabu hiyo anayeshughulikia Masuala ya Kimataifa, Bw. Bekir Irdem, Waziri Mchengerwa pia ameishukuru klabu...
Read More