Na Beatrice Lyimo.
Shirika la Viwango Nchini (TBS) liimejipanga kuzalisha bidhaa zenye ubora wa kumudu ushindani wa masoko ya ndani na nje ya nchi ili kutimiza malengo ya Serikali ya kufikia uchumi wa kati kupitia uchumi wa viwanda.
Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi wa Shirika hilo Prof. Egid Mubofu wakati wa mahojiano maalumu katika kipindi cha TUNATEKELEZA kinachoandaliwa na Idara ya Habari(MAELEZO) na kurushwa hewani na Kituo cha Televisheni ya Taifa (TBC).Prof. Mubofu alisema kuwa, jukumu la nchi kuingia kwenye uchumi wa viwanda si la...
Read More