Na Jonas Kamaleki
Zaidi ya vijana 2340 wenye umri wa miaka kati ya 16 na 37 wameamua kujiondoa kwenye mtandao wa mazoezi ya kigaidi na kujisalimisha ili kuishi maisha ya amani na maadili mema baada ya kukutana na ushauri wa Jopo laViongozi wa Kamati ya kitaifa ya Maadili ,Amani na Haki za Binadamu kwa jamii ya dini zote nchini.
Hayo yalisemwa leo (jana) na Mwenyekiti wa Kamati ya kitaifa ya Maadili ,Amani na Haki za Binadamu kwa jamii ya dini zote nchini, Askofu William Mwamalanga katika mahojiano maalum na mwandishi wa habari...
Read More