[caption id="attachment_20338" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Abdul-Razaq Badru akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa orodha ya kwanza ya majina ya wanafunzi waliopata mikopo kwa mwaka 2017-2018, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Upangaji na Utoaji Mikopo toka bodi hiyo Dkt. Veronica Nyahende.[/caption]
Na: Thobias Robert
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya kwanza ya majina ya wanafunzi 10,196 kati ya wanafunzi 30,000 wanaotar...
Read More