[caption id="attachment_23217" align="aligncenter" width="640"] 1. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (kushoto) akizungumza na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja (wa pili kushoto) alipofika ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo akiongozana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (wa pili kulia) kwa ajili ya kujitambulisha wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za uhifadhi mkoani humo.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga ameuagiza uon...
Read More