Na Grace Semfuko.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Januari 9,2019 amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua Ikulu Jijini Dar Es Salaam na kuwataka kufanya kazi kwa kuzingatia weledi.
Viongozi walioapishwa ni pamoja na Waziri wa Madini Dotto Biteko, Makatibu Wakuu wa Wizara watatu, Manaibu Makatibu wakuu wa Wizara wawili,Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Balozi pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma na Makamishna sita wa Tume hiyo.
Akizungumza mara baada ya kuwaapisha viongozi hao Ikulu Jijini Dar...
Read More