[caption id="attachment_40639" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto), akipeana mkono na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bi. Sophia Mjema, alipofanya ziara katika Wilaya hiyo kukagua miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa soko la Kisutu, Machinjio ya Vingunguti na Maboresho ya Shule Kongwe ya Sekondari ya Pugu.[/caption]
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
SERIKALI imeinyang'anya Manispaa ya Ilala, mkoani Dar es Salaam shilingi bilioni 3 ilizoipatia kwa ajili ya kutekeleza mradi w...
Read More