Na Adelina Johnbosco: MAELEZO, Dodoma
Tanzania ili iweze kufikia hatima ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi , ofisi ya Taifa ya takwimu ishirikiane vyema na taasisi pamoja na mashirika ya utafiti katika kuhakikisha tafiti zinazofanyika zinatoa takwimu sahihi.
Rai hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba wakati wa uzinduzi wa semina ya wadau kuhusu uanzishwaji wa ushirikiano wa Kitaifa na Kimataifa wa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa takwi...
Read More