[caption id="attachment_42105" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejeimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mary Mwanjelwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara wakifuatilia michango ya wabunge wakati wa kuchangia Bajeti ya Wizara TAMISEMI ya Mwaka wa Fedha 2019/2020 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_42106" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Salma Kikwe...
Read More