Na: Lilian Lundo - Dodoma
Katika kipindi cha Mwaka wa Fedha 2018/19, zaidi ya shilingi Bilioni 93.8 zimetumika katika uboreshaji wa miundombinu ya shule 588 ambapo shule 303 ni za msingi na sekondari 285.
Hayo yameelezwa leo, Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Bumbwini, Muhammed Amour Muhammed juu ya juhudi zipi za makusudi ambazo Serikali inakusudia kuchukua ili kupandisha hali ya ufaulu wa wanafunzi wa kidato cha Nne.
"Serikali imeendelea kuchukua hatua mba...
Read More