Na Ismail Ngayonga
KATIKA nchi inayoazimia kuwa na uchumi unaokuwa kwa kasi, ni lazima migogoro inayowasilishwa Mahakamani ikamilike kwa haraka ili kuwawezesha wananchi watumie muda wao mwingi katika uzalishaji mali.
Kumekuwa na dhana kuwa mashauri ya jinai na madai yanapochelewa kukamilika mahakamani, basi ni mahakama tu ndiyo inayochelewesha utoaji haki pasipo na kuelewa kuwa katika mnyororo wa utoaji haki kuna wadau muhimu wanaopaswa kutimiza wajibu wao kwa wakati.
Wadau hao ni pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria, Mwanasheria Mkuu wa Ser...
Read More