Na Mwandishi Wetu
Baada ya kampuni yenye utata ya ACACIA kufutwa rasmi, Serikali kwa kushirikiana na kampuni ya Barrick zimeunda kampuni mpya ya Twiga Minerals Corporation ambayo itasimamia migodi ya Bulynhulu, North Mara na Buzwagi.
Akizunguza wakati wa kutangaza kampuni hiyo mpya leo Oktoba 20, 2019 jijini Dar es Salaam, Rais na Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow amesema kuwa katika uboa huo, Serikali ya Tanzania inamiliki asilimia 16 ya hisa Barrick asilimia 84 za kampuni ya Twiga.
“Makubaliano haya yameanzisha zama moya za ushirikian...
Read More