[caption id="attachment_50142" align="aligncenter" width="750"] Mtakwimu Mkuu, Dkt.Albina Chuwa akiwa katika picha ya Pamoja na Maafisa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu mara baada ya kufua Warsha ya siku mbili Jijini Dar es Salaam leo Januari 13, 2020.[/caption]
Mwandishi Wetu
Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa kushirikiana na Ofisi ya Mazingira ya Umoja wa Mataifa imeendesha Warsha ya Siku mbili kwa wataalamu wa Takwimu nchini kutoka, ili kuwezesha kuwa na utaalam na ufanisi mkubwa katika kukusanya takwimu hasa kwenye kipingele za matumizi bora y...
Read More