[caption id="attachment_51863" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari na Uongozi wa shule ya St.Dorcas(hawapo pichani), kuhusu deni la kodi ya Ardhi takribani milioni 98, ambalo shule hiyo inadaiwa tangu mwaka 2009 hadi sasa, kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Kodi Kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Denis Masami.[/caption]
Na. E.L. Solla- Wizara ya Ardhi
Kulipa kodi ya Pango la ardhi ni fahari na ni sehemu ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla. Rai hi...
Read More