Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James Mataragio kuhusu maandalizi ya ujenzi wa mradi wa LNG (mradi wa kusindika gesi kuwa kimiminika ) katika eneo Likong’o Manispaa ya Lindi wakati alipotembelea eneo hilo akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani Lindi, Oktoba 5, 2021. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Hajat Zainab Telack.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama michoro ya ujenzi wa mradi wa maji wa Mitwero, Mkwaya na Kitunda wilay...
Read More