Na Mbaraka Kambona, Muleba
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki amewataka wavuvi kupinga vitendo vya uvuvi haramu na kutunza Rasilimali za Uvuvi kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.
Waziri Ndaki alitoa wito huo alipokuwa akiongea na wavuvi wanaofanya shughuli zao katika Mwalo wa Magarini uliopo katika Wilaya ya Muleba, Mkoani Kagera Disemba 13, 2021.
Wakati akiongea na wavuvi hao alisema kuwa uvuvi haramu ni sumu kwa biashara ya Samaki na Dagaa hivyo ni muhimu kuendelea kuutokomeza ili rasilimali za uvuvi ziwe...
Read More