Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Manifredo Fanti wakisaini mikataba mitatu ya msaada yenye thamani ya Euro Milioni 180 sawa na shilingi bilioni 469.4, kwa ajili ya kuboresha masuala ya kijinsia, kuboresha Miji ya Tanga, Mwanza na Kisiwa cha Pemba-Zanzibar, kuwa ya kijani na nadhifu na Mradi wa Kidijitali wa Serikali Mtandao, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Anayesh...
Read More