Na. Eva Valerian, WFM - Dodoma
Taasisi ya Umoja wa Mataifa imeipatia Tanzania msaada wa jumla ya Dola za Marekani bilioni 1.85 ambazo ni takribani shilingi trilioni 4.3, kwa ajili ya kutekeleza afua mbalimbali katika maeneo waliyokubaliana yakiwemo sekta ya maji, afya, elimu, kilimo na jinsia na usawa kati ya shughuli za wanawake na wanaume.
Makubaliano ya msaada huu yametiwa saini Jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa niaba ya Tanzania Bara na Visiwani na Mwa...
Read More