Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (aliyesimama), akizungumza wakati akiwahamasisha wawekezaji kutoka Uingereza na Norway waliomtembelea kwenye Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania.
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewahakikishia wawekezaji kutoka Uingereza na Norway kwamba Serikali itatoa ushirikiano mkubwa ili kufanikisha uwekezaji wao hapa nchini kwa...
Read More