Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akizungumza katika mkutano uliwakutanisha Mawaziri wanaosimamia Uchukuzi wa Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Makatibu Wakuu na Wataalam wa nchi hizo (hawapo pichani) kujadili na kusaini ripoti ya Wataalam ya Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR ya Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumburaa-Uvinza-Kindu wenye Jumla ya Kilomita 939, mjini Kinshasa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia) akiwa na Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa DRC Congo, Cherubi Senga (k...
Read More