Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mhashamu Thomas John Kiangia baada ya kusimikwa na kuwekwa wakfu, kwenye Kanisa Katoliki Chumbageni, Tanga Septemba 3, 2023. Mheshimiwa Majaliwa amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe hizo
Read More