Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiongea wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 2017 yanayodhaminiwa na Kampuni ya Oryx.
Makamu wa Rais Chama cha Magari Tanzania (AA Tanzania) Bw. Gautam Chavda (wa pili kushoto) akiongea wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 2017 yanayodhaminiwa na Kampuni ya Oryx.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea zawadi ya kinyago cha Twiga wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Magari kwa Mwaka 20...
Read More