[caption id="attachment_15707" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa inayolima zao Pamba kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 26, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa 11 inayolima pamba nchini wahakikishe wanasimamia vizuri wakulima wa zao hilo ili kuongeza uzalishaji na kuwaletea tija wananchi.
Agizo hilo limetolewa leo (Jumanne, Septemba 26, 2017) na Waziri Mk...
Read More