[caption id="attachment_25140" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Ukoo wa Patel, Harish Patel akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi mfano wa hundi ya shilingi 22,500,000/= fedha zitatumika kwaajili ya kulipia gharama za upasuaji wa Moyo kwa watoto 10 wanaotibiwa katika Taasisi hiyo.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu
Ukoo wa Patel umekabidhi kiasi cha shilingi 22,500,000/= fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa Moyo kwa watoto 10 wanaotibiw...
Read More