[caption id="attachment_25741" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kulia) mara baada ya kuwasili kwenye eneo la machimbo ya Dhahabu la Buhemba. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Annarose Nyamubi.[/caption]
Serikali imeagiza kufikia Januari 10, 2018 Ukaguzi wa Usalama kwenye eneo la Machimbo ya Dhahabu ya Buhemba, Wilayani Butiama Mkoani Mara uwe umekamilika ili shughuli za uchimbaji zilizokuwa zimesimamishwa ziruhusiwe.
Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo alitoa agizo hilo Desemba 27, 2017 alipo...
Read More